Category: Mkulima Market

0

TUJIKUMBUSHE 2017, “TUMIA SEHEMU YA FAIDA UNAYOIPATA KUONGEZA MTAJI WAKO” Prof. Ngowi

(ZAWADI YA MWAKA MPYA)Tunapoanza mwaka Mpya wa 2018, Ebu tukupe zawadi kidogo ya kukumbusha somo alilolifundisha Mchumi Prof. Ngowi mwanzoni mwa mwaka 2017, JINSI YA KUPATA MITAJI. Kuna njia nyingi sana za kupata mtaji lakini tunajikumbusha chache kati ya njia hizo muhimu. Mjasiriamali uliejifunza na kufaidika na somo hili basi si vibaya ukatumia farsa hii kujikumbusha tena ili uweze kuimarika zaidi, lakini iwapo mjasiriamali ulishindwa kufanikiwa katika mwaka 2017 kwasababu tu haukuwa na ufahamu wa jinsi ya kupata mtaji basi tumia fursa kujifunza na hatimaye uanze mwaka mpya ukiwa na matumaini mapya yatakayotokana na maarifa utakayoyapata katika kumbukumbu hii. Lakini...

0

TUJIKUMBUSHE 2017( JITOFAUTISHE NA WENGINE KIBIASHARA NA UWE MBUNIFU)

Wakati Ngowi TV ikitimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake, tunakuletea baadhi ya vipindi vilivyowakonga wengi na kuwa msaada mkubwa kwa Taifa, jamii, familia na mtu mmoja mmoja. ‘UMUHIMU WA KUJITOFAUTISHA NA WENGINE” Hiki ni kipindi cha kwanza Kabisa kuruka hapa ngowi TV. uzito na umuhimu wa ujumbe huu unatufanya tukuletee tena kipindi hiki ili kama haukubahatika kujifunza kutoka katika somo hili basi upate fursa ya kujifunza au ujikumbushe tena kutoka katika somo hili muhimu kutoka kwa Prof. Ngowi ndani ya TUJIKUMBUSHE 2017.

0

TUJIKUMBUSHE 2017( JITOFAUTISHE NA WENGINE KIBIASHARA NA UWE MBUNIFU)

Wakati Ngowi TV ikitimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake, tunakuletea baadhi ya vipindi vilivyowakonga wengi na kuwa msaada mkubwa kwa Taifa, jamii, familia na mtu mmoja mmoja. ‘UMUHIMU WA KUJITOFAUTISHA NA WENGINE” Hiki ni kipindi cha kwanza Kabisa kuruka hapa ngowi TV. uzito na umuhimu wa ujumbe huu unatufanya tukuletee tena kipindi hiki ili kama haukubahatika kujifunza kutoka katika somo hili basi upate fursa ya kujifunza au ujikumbushe tena kutoka katika somo hili muhimu kutoka kwa Prof. Ngowi ndani ya TUJIKUMBUSHE 2017

0

MAONYESHO YA WAZI YA KILIMO/MIFUGO NA UWINDAJI (MKULIMA MARKET)

Ngowi TV ilipata fursa ya kutembelea maonyesho ya wazi ya kilimo, ufugaji na uwindaji maarufu kama “mkulima market.” Hapo tuliongea na wafanyabiashara waliokuwepo wakionyesha bidhaa zao mbalimbali toka maeneo mbalimbali. Walitueleza changamoto wanazokumbana nazo toka maeneo tofauti na katika shughuli zao za kila siku. Toka kwa wafanyabisahara hawa kuna vitu ambavyo tunaweza kujifunza toka kwao, angalia video hii na utakubaliana nami.