Category: Documentaries

0

“INAWEZEKANA KWA WAZAWA KUWEKEZA KWENYE SEKTA MUHIMU ZA KIUCHUMI”Waziri Mkuu Kasim Majaliwa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kasim Majariwa, amesema Serikali inafarijika sana pale inapoona Mzawa anafanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta muhimu ambazo ni mhimiri katika uchumi wa nchi. Waziri mkuu ameyasema hayo mnamo tarehe 28 novemba 2018 alipotembelea mradi mpya wa kisasa wa kuchenjulia dhahabu unaojengwa na kampuni ya uchenjuaji dhahabu ya Nyamigogo Grand Vezir Holdings Ltd, iliyopo mkoani Geita inayomilikiwa na mzawa Hussein Nassor Amar ,

0

CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR ES SALAAM, CHAFUNGA KAZI

Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaa, yafanyika Tarehe 30 Novemba 2018 huku jumla ya wahitimu 559, wakitunukiwa shahada mbalimbali na kutakiwa kutumia elimu waliyoipata kulisaidia Taifa kufikia malengo iliyojiwekea ikiwemo lengo la kulifanya Taifa hili kuwa la uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025

0

KONGAMANO LA UCHUMI WA JAMII WA SOKO HURU

Kongamano la kujadili Fumo wa kiuchumi wa kijamii wa soko huru, lililoshirikisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu na wanazuoni, lililofanyika tarehe 23/03/2018 katika ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam. Kongamano hili liliratibiwa na CETA, kwa kushirikiana na taasisi ya kimaendeleo ya Konrad Adenauer Stiftung ya Ujerumani.