Category: Habari Za Corona

CORONA KUSABABISHA ANGUKO LA KIUCHUMI 0

CORONA KUSABABISHA ANGUKO LA KIUCHUMI

Pamoja na athari zingine, gonjwa la Corona limetikisa uchumi wa dunia nzima. Je sisi kama taifa tunawezaje kujiepusha na kuporomoka kwa uchumi? Prof. Ngowi anatuelezea kwa kina kuhusu hili.

MJADALA WA KINA KUHUSU KUENEA KWA UGONJWA WA CORONA NA ATHARI ZAKE KIUCHUMI 0

MJADALA WA KINA KUHUSU KUENEA KWA UGONJWA WA CORONA NA ATHARI ZAKE KIUCHUMI

Ugonjwa wa Corona huenezwa kutokankwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa kasi endapo hatua za kujilinda dhidi ya maambukizi hazitachukuliwa. Pamoja na athari za kiafya, uchumi wa nchi, dunia na binafsi unaathirika sana. Prof. Ngowi anazungumzia yote haya katika video hii, sio ya kukosa kuangalia.

HATUA ZINAZOPASWA KICHUKULIWA ILI KULINDA UCHUMI WAKATI HUU WA JANGA LA CORONA 0

HATUA ZINAZOPASWA KICHUKULIWA ILI KULINDA UCHUMI WAKATI HUU WA JANGA LA CORONA

Wakati Tanzania na dunia nzima inapambana na janga la Corona, Prof. Ngowi aliongea kuhusu hatua mbalimbali ambazo zinaweza kuchukuliwa wakati huu ili kutegemeza uchumi.